MAONI ANDISHI KATIKA USAHIHISHAJI WA INSHA ZA WANAFUNZI

  • Jackline Njeri Murimi
Keywords: MAONI, ANDISHI, KATIKA, USAHIHISHAJI, INSHA, WANAFUNZI

Abstract

Miongoni mwa hatua muhimu katika ufundishaji ni ile ya usahihishaji ambayo hutokea pindi tu wanafunzi
wanapokamilisha kufanya zoezi, jaribio au mtihani. Ni umuhimu huu ndio unaowapelekea Musau na
Chacha (2001) kusisitiza imakinifu wa mwalimu anaposahihisha ili asije akavuruga jitihada nzuri ya
ufundishaji wake. Katika usahihishaji wowote, utuzaji hutolewa kama namna ya kuonyesha uamuzi wa
mwalimu kuhusiana na kazi ya mwanafunzi. Richard (1971) anasema kuwa, uamuzi huu unaweza
kuwasilishwa kupitia kwa tarakimu, herufi au maoni andishi na maoni ya mdomo yaliyoteuliwa kwa makini.
Maoni haya hutolewa kuhusiana na udhaifu au ubora wa kazi ya mwanafunzi. Katika kazi hii nimejaribu
kuangazia maswala yafuatayo:

Downloads

Download data is not yet available.
Published
2017-09-30
How to Cite
Murimi, J. N. (2017). MAONI ANDISHI KATIKA USAHIHISHAJI WA INSHA ZA WANAFUNZI. IJRDO- Journal of Educational Research, 2(9), 01-06. https://doi.org/10.53555/er.v2i9.371